Manara, Zaiylissa mahaba kama yote ZILE habari za kwenye mitandao ya kijamii zilizokuwa zikidai kuwa Haji Manara na mke wake muigizaji Zaiylissa ndoa yao imevunjika basi jua kwao ndio kwanza mahaba kama yote.
Azam FC, Mashujaa hakuna mbabe Chamazi MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC na Mashujaa umemalizika kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi Kwa timu hizo kutoka suluhu.