Gwalala... Kiungo anayetoa tuzo kwa Fei, Aziz Ki Kulikuwa na Mtenje Albano ambaye kwa sasa anakimbiza Dodoma Jiji akifanya vizuri zaidi katika nafasi ya kiungo.