PRIME Dube kaingia anacheka, katoka amenuna TFF MSHAMBULIAJI wa Kimataifa kutoka Zimbabwe, Prince Dube aliyeonekana kuwa na tabasamu usoni shauri lake dhidi ya waajiri wake limesikilizwa leo, Alhamisi na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji...
Kibu kumtungua tena Diarra? MIONGONI mwa makipa mahiri Afrika kwa sasa ni Djigui Diarra anayeidakia Yanga na timu ya taifa ya Mali akisifika kwa ubora wa kuanzisha mashambulizi, pia kuokoa michomo inayolenga lango...
Sunzu, Maftah watia neno Derby MASTAA wa zamani wa Simba na Yanga, Felix Sunzu na Amir Maftah wametofautiana mitazamo kuhusu mchezo wa dabi ya Kariakoo utakaochezwa Jumamosi ya Aprili 20 kuanzia saa 11 jioni kwenye Uwanja wa...
Malijendi: Hii dabi niyakushangaza Malijendi wa Simba na Yanga wamedai mechi ya Jumamosi hii itakuwa na mambo mengi ya kushangaza lakini watakaoenda uwanjani watainjoi soka.
Pembe: Simba wasipofunga mlango, zile 5 zinarudi MSANII wa vichekesho nchini, Yusuph Kaimu 'Pembe' amesema pamoja na matumaini waliyonayo mashabiki wa Yanga kushinda, lakini mastaa wanapaswa kuiheshimu Simba kwani mechi ya watani siyo...
PRIME Nabi, Robertinho walivyoitabiri Dabi JUMAMOSI ni Dabi. Yanga ambayo ndio wenyeji wa mchezo huu,misimu miwili nyuma ilikuwa ikiongozwa na kocha Nasreddine Nabi kabla ya kuja kwa Miguel Gamondi na kuacha rekodi kubwa ya kufika Fainali...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
PRIME Ukiwa na macho ZPL marufuku BODI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Issa Kassim ameliambia Mwanaspoti hawatamruhusu kucheza mechi mchezaji yeyote atakayebainika kuwa na tatizo la macho mekundu maarufu...
Dk Mwinyi ajitosa ishu ya Zanzibar CAF SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema bado inapambana ili kupata ufumbuzi juu ya suala la timu ya taifa ya soka ya Zanzibar, 'Zanzibar Heroes' la kutopata nafasi ya kushiriki...
Tanimu: Beki Ihefu aliyekipiga na Osimhen, Iwobi na Ihenacho Wiki chache zilizopita bendera ya Tanzania ilipepea huko Nigeria kwa mchezaji wa Ligi Kuu Bara, Benjamin Tanimu kutoka Ihefu (Singida Black Stars) kuitwa na kucheza katika kikosi cha Super Eagles...
Derby ya mashemeji kitaumana usiku Wakati homa ya mchezo wa dabi ya Mashemeji kati ya Gor Mahia FC na AFC Leopards ikizidi kupamba moto, Shirikisho la Soka nchini Kenya (FKF) tayari limeweka wazi kuwa mchezo huo utapigwa usiku.
Kobbie Mainoo ndo hivyo tena Manchester United imepanga kumpa ofa ya dili safi kabisa kiungo Kobbie Mainoo huku bilionea mpya wa miamba hiyo ya Old Trafford, Sir Jim Ratcliffe akitaka kujenga kikosi kipya kutokana na kinda...